Pages

Tuesday, July 24, 2012

Hii ndo hali halisi iliyopo katika hospitali zetu hapa nchini kwetu
Hii ni wodi ya wazazi katika moja ya Hospital hapa nchini
Pia wakati wa migomo hawa ndo waathirika wakubwa
Pia hakuna vitanda vya kutosha
            Kwa ujumla wanapata tabu sana

No comments:

Post a Comment