Pages

Monday, March 25, 2013

ZIARA YA RAIS WA CHINA XI JINPING TANZANIA, KUANZIA JANA NA KUMALIZA MCHANA WA LEO.

Rais wa China, Xi Jinping, ametambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote.
Rais huyo ametumia jukwaa la Tanzania kujitambulisha kwa Afrika ikiwa ni chini ya mwezi mmoja tangu achukue wadhifa huo.

No comments:

Post a Comment