Pages

Saturday, April 27, 2013

CHECK OUT GARI JIPY ALA MILIONI 35 ALILONUNUA NEY WA MITEGO PAMOJA NA BASTOLA HAPA




Nay akiwa na bastola yake
Nay ameshare picha hizo kwenye Instagram na Facebook ambapo miongini mwa picha za gari lake ameandika, ‘My new car. Mark X, Zic z wat I nid.” Mwaka huu Nay ametumiwa kwenye show nyingi za Airtel na Vodacom ambazo huenda zimemwingizia mkwanja wa kutosha.





No comments:

Post a Comment