PICHA ALIYOPOOST TWITTER IKIWAONYESHA WAKIWA PAMOJA NA SELENA
BIEBER AKIKUTANA NA SELENA KWA SIRI KATIKA HILI GARI
Mapaparazzi ni
noma sana, wameifatilia weeeee mpaka wamepata uhakika kwamba mwimbaji
staa Justine Bieber na mpenzi wake Selena Gomez wamerudiana.
Unaambiwa mpango wa kurudiana ulithibitika wakati Bieber yuko Norway akifanya show, Selena nae alimfata….
Pilikapilika zao ndio zilifanya mkanda mzima upatikane ikiwemo Selena kuandika kwenye twitter.


No comments:
Post a Comment