Leo ni maadhimisho ya sherehe za muungano kati ya tanganyika na zanzibar
uliozaa nchi ya tanzania..ni shamrashamra hapa uwanjani, rais wa
jamhuri ya muungano anawaongoza watanzania katika tukio hili mh; na la
kihistoria..
Katika Picha:
Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi...
Gwaride....
Ndege za kivita zikipita kutoa heshimu, juu ya anga ya uwanja wa taifa...
.......





No comments:
Post a Comment