Advertise with us here...
Contact: 0654 264 472
Email: sabanhussein@yahoo.com
sabanhussein@yahoo.com
Pages
▼
Thursday, June 6, 2013
M 2 THE P AMUAGA NGWAIR KWA MACHUNGU, TAZAMA PICHA HAPA
M2 THE P
amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi
ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya
chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P
alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia
Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
No comments:
Post a Comment