Waendaji wa club na sehemu za starehe hawatakuwa na wasiwasi tena kuhusu
simu zao kuishiwa chaji kutokana na kubuniwa kwa kaptura na mabegi ya
kulalia ambayo hutumia joto la mwili na muenendo (movement) kuzalisha
umeme.
Kaptura hizo zenye umeme zinaweza kuchajisha betri ya simu kwa kuvuna
nishati kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia technojia ya
uzalishaji umeme kwa njia ya mwendo (kinetic energy) na thermoelectric.


No comments:
Post a Comment