...Akiwa na Ommy Dimpoz.
Muda mchache baadaye, paparazi wetu alimfuma tena Shilole akiwa
amekumbatiana na Ommy Dimpoz kwenye gari huku wakiwa wameangusha
usingizi mzito hali iliyozua minong’ono ingawaje wawili hao walidai ni
shangwe tu za Fiesta na hakuna uhusiano wa kimalovee kati yao.Katika pozi na Madee.
Shilole akiwa na Madee.
Mpango mzima ‘uli-happen’ Agosti 25, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Singida Montel wakati wasanii hao walipokuwa katika shoo ya Serengeti Fiesta 2013 ‘Noma Sana’
Kwanza paparazi wetu alimfotoa Shilole picha kadhaa akiwa anafungwa zipu na Madee.



No comments:
Post a Comment