Diamond Platnumz hataki kusikia cha Team Wema wala cha Team Penny, wote anawaona wale wale tu wenye mapenzi ya uongo.,
Staa huyo wa Ngololo ambaye bado yupo nchini China, ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akimpongeza ndugu yake kwa kupata mtoto.
“Kutoka Naseeb Hadi Baba Ayaan… Asante sana @dumyutamu na @jujuwavanilla
kwa kutuletea, a New Star! katika familia hii ya @WCB_Wasafi … Na nyie
nao Mzaage sio tu kuleta Mapenzi ya Uongo! ya Team flani mara yule Team
Flani #WiziMtupu #Muniache! Ntafte ela mie,” aliandika kwenye Instagram.
Naye Wema Sepetu jana amerejea Dar akitokea Hong Kong ambako alikuwa
kwenye mapumziko ya muda ndiko alikutana na Diamond kukumbushia penzi
lao.


No comments:
Post a Comment