Wanaunzi wa shule ya msingi nao wakisaidia usafi
Mstahiki Meya wa wailaya ya kinondoni nae alikuwepo, hapo akifanya mahojiano mafupi na waandishi wa habari.
Ephrahim Kibonde kutoka Clouds Media (Mzee wa kuhimiza kubaki njia kuu)
Mstahiki Meya akitoa hotuba fupi kwa watu waliohudhuria katika tamasha hilo
mapumziko mafupi baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu
Mifuko yenye takataka ikiwa imejaa tayari kwaa kupelekwa kwenye gari la taka
Tajiri Hundi akimkaribisha Happiness Watimanya kuungana katika zoezi zima la usafi wa unapopita mto mlalakua. Miss Tanzania 2014 tayari akiwa na mfuko wake kujiandaa kwenda kusaidia kusafisha.
Vijana kutoka Kigamboni Community Centre wakionesha onesho lao la sarakasi.
Miss Tanzania akiokota takataka kuweka kwenye mfuko aloahidi kuujaza takataka pekeake.
Happiness
Maonesho ya mavazi yaliyotengenezwa kwa kutumia takataka
Miss Tanzania 2014 akionesha vazi lake
Waliosaidia kufanikisha zoezi zima
No comments:
Post a Comment