Pages

Thursday, May 1, 2014

INSTAGRAM WAMPIGA MARUFUKU RIHANA KUTUPIA PICHA ZA UTUPU KATIKA MTANDAO HUO

Kwa Rihanna hua sio ‘big deal’ kupost picha za utupu katika mitandao ya kijamii, inavyoonekana ni moja ya starehe zake ambazo zimeonekana kuvuka mipaka iliyowekwa na wamiliki wa mtandao wa kushare picha wa Instagram.
 

No comments:

Post a Comment