Pages

Friday, May 30, 2014

PENZI LA KITALE NA PENNY NALO LAIVA

Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ONA HAPA] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto P hadi akafumba macho).....Nikawaachia wadau MKOMENT..Sasa leo tena mwanadada Penny Kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM ametupia hii....Sina cha ku-comment zaidi ya kukumbuka msemo wa PANAPOFUKA MOSHI....UJUE KUNA MOTO!

No comments:

Post a Comment