Pages

Thursday, May 1, 2014

SALAMA, GODZILLA, D KNOB NA ZITTO KABWE, NAO WALA NDIZI KUONESHA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI.


Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa

No comments:

Post a Comment