Pages

Monday, August 4, 2014

PICHA: AGNES MASOGANGE AAMUA KUBADILISHA URAIA NA KWASASA SIO MTANZANIA TENA. SOMA HAPA

Kama mnavyofahamu kwa kipindi kisichopungua miezi minne sasa dada yetu Agnes Gerald aka Masogange aliama nchini na kuamia nchini Afrika kusini. Inasemekana amepata bwana wa kuishi naye huko. Siku ya jana kupitia ukarasa wake wa Instagram amepost picha ya passport ya kusafiria ya Afrika kusini na kuCaption alama ya kupiga makofi hii ni kuonesha kwa sasa sio raia tena wa Tanzania. baadhi ya watu wamekomenti kumsifia na ammeonesha kuwajibu kwa kufurahia.

No comments:

Post a Comment