Pages

Monday, October 24, 2016

Juu ya Vanessa na Jux yaingia kwenye playlist ya The Beat London FM ya UK

 Baada ya taarifa hiyo kupitia mtandao wa Instagram, Vanessa Mdee ambaye yupo nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la One Africa Music, ameandika, “Mad love to ALL THE DJs AROUND THE WORLD bumping #Juu 💜Asante Sana. Na bado tunaenda Juu baby. #London is switched on.”


No comments:

Post a Comment