Pages

Wednesday, November 16, 2016

Vyuo 26 vya ufundi vyafungiwa na NACTE

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na kutoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa.

No comments:

Post a Comment