HIVI NDIVYO MWAKILISHI WETU KATIKA BBA ALIVYOJIACHIA BAFUNI NA DILISH. WACHEKI HAPA
Dillish na Nando wakioga
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Jana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big
brother Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki
wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata muda wa kuwa
romantic na kuonesha upendo (Romantic time).
Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Huenda huu ukawa mwanzo wa mahusiano yao humo ndani kwa
sababu moyo hauna pazia na uruzi wa Dillish unaweza kumvuta to the limit model
huyo wa kitanzania.
Dillish
Kwa upande mwingine the boss lady toka Kenya Huddah Monroe
alipata nafasi ya kushare na Denzel
mawili matatu hasa kuhusu mahusiano, wakati Denzel akiwa ameonesha tangu mwanzo
kudata kwa Huddah. Jana Huddah alifunguka na kumwambia kuwa anahitaji mwanamme
mwenye pesa na kwamba she is a gold digger. Lakini second kadhaa baadae akafuta
kauli yake na kumwambia kuwa alikuwa anatania. Really?!
Wiki hii Benzel, Betty, Huddah, Selly na Natasha wako katika
nafasi kukumbwa na Eviction.
0 comments:
Post a Comment