DIAMOND ALIVYOPOKELEWA NCHINI COMORO, NA MAANDALIZI YA SHOW YAKE ITAKAYOFANYIKA LEO HUKO COMORO.
DIAMOND ALISEMA "Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu aliyeniwezesha mimi na team yangu nzima ya wasafi kusafiri na kufika salama visiwani Comoro,lakin pia siwezi acha kuwashukuru mashabiki wangu wa kweli kwa dua
wanazoendelea kuniombea..tulifika Comoro mapema jioni na kupokelewa na umati wa watu waliokuwa an hamu ya kumwona mtoto wa kitanzania nikitua nchini mwao
hizi ni baadhi ya picha za matukio jinsi wana Comoro walivyonipokea"
Ukweli ni mara yangu ya kwanza kufika Comoro na
nilifurahishwa na ukarimu wa watu hawa na jinsi
walivyonipokea vyema..kweli Africa yote ni ndugu wa baba mmoja
Baadaya kutoka Airport nilifanyiwa mahojiano
na kituo cha televisheni cha nchini Comoro..
usikose kutembelea this is diamond kujua chochote
kitakachoendelea ..nawapenda nyote
na kituo cha televisheni cha nchini Comoro..
usikose kutembelea this is diamond kujua chochote
kitakachoendelea ..nawapenda nyote
"Pre-rehealsal oround ma Hotel before my Performance tomorrow at Stade de Moroni #Comoro.... #Cocacola"
Hiyo ilikuwa ni jana na hicho ndicho alichokisema.
0 comments:
Post a Comment