Video: Waleo Band – Rangi Ya Chungwa
Ni vijana wa tatu wanaitwa Waleo Band wameachia video yao mpya wimbo unaitwa “Rangi Yachungwa”, video imeongozwa na Sai XL tazama hapa chini.
…Read More
Wakali Kwanza kurejea na ‘Siishiwi Hamu’
Wakali Kwanza, kundi lililowahi kutikisa mawimbi ya redio na TV nchini kwa nyimbo kama Natamani na zingine, linatarajia kuvunja ukimya kwa kuachia …Read More
0 comments:
Post a Comment