Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Friday, August 23, 2013

hII INAWEZA KUWA NIBAHATI MBAYA KWA LULU, HII NDIO SABABU INAYOWEZA KUSABABISHA FILAMU YAKE MPYA YA 'FOOLISH AGE' KUTOKUZINDULIWA MWEZI HUU. SOMA HAPA...




                                                      Hizi ndio picha ambazo zinasemekana ndo zilizua utata

Filamu ya foolish age ya msanii mwenye mvuto bongo Elizabeth Michael 'lulu' Imekwenda bodi ya ukaguzi wa filamu na michezo ya kuigiza Bongo, baada ya kukutwa na picha ambazo zipo nje na maadili ya kitanzania. Filamu hiyo ambayo ilipangwa kuzinduliwa katika ukumbi wa mlimani City mwezi hu tarehe 30 Inahitaji marekebisho.

CHANZO http://www.bongoclantz.com/2013/08/NXI.html

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog