Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Sunday, October 27, 2013

BREAKING NEWS....SHOW YA FIESTA KUENDELEA LEO SAA 9 ALASIRI BUREEEEEEEEEEEE.

Msanii J Martins kutoka Nigeria na Ommy Dimpoz wakishambulia jukwaa la Serengeti fiesta leo alfajiri kabla ya kutokea hitirafu ya umeme.

Baada ya show ya serengeti fiesta 2013 jijinin Dar kusimama kwa muda leo alfajiri kwa sababu ya hitilafu ya umeme, itaendelea tena leo saa 9 alasiri katika viwanja vya leaders club jijini Dar es salaam bila kiingilio.

Akiongea na washabiki mkurugenzi wa vipindi na uzarishaji, Ruge Mutahaba amesema wasanii wtakao fanya show leo ni pamoja na J Martins kutoka Nigeria, Ommy dimpoz, Davido kutoka nigeria, Diamond platnumz, Ney wa mitego, Mohombi kutoka sweden na bendi ya twanga pepeta.

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog