Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Saturday, October 26, 2013

TAZAMA PICHA AZAM TV WALIVYOTEMBELEWA NA WAANDISHI WA HABARI NA MITAMBO YAO ILIVYO YA UKWELI.

Mkurugenzi mkuu wa Azam medi,, Rhys Torrington akioongea na waandishi wa habari waliopata bahati  na fursa ya kutembbelea ofisi ya kampuni hiyo ya Azam hasa kuhusu uanzilishwaji wa Tv yao ya Azam TV. Lenye muonekano wa kisasa zaidi na lengo la kukuza michezo mbalimbali hapa nchini, oofisi hizo zipo eneo la Tazara jijini Dar es salaam
Mkurugenzi wa Azam media akionyesha king'amuzi cha Azam kwa baadhi ya waandishi ambao hawaonnekani kwenye picha, waliopata fursa ya kuembelea katika kampuni hiyo
Baadhi ya wakuu wa idara mbalimbali wakimsikiliza mkurugeni wao akielezea kitu katika mkutano huona waandishi wa habari.

 
Meneja wa huduma kwa wateja wa kkampuni ya Azam media, Loth Mziray (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya waandishi waliopatafursa ya kutembelea ofisi za kampuni hiyo ya Azam TV eneo la  Tazara
Baadhi ya wafanyakazi wa Azam media (Kitengo cha huduma kwa wateja wakiwajibika)
Meneja uzalishaji wa ufundi wa kampuni ya Azam media, akiwa akionyesha moja ya mixer ya sauti ambayo ipo ndani ya OB VAN ya Azam Tv ambayo ni ya kisasa na yenye vigezo vya kimataifa.
Sehemu ya vifaa vya kuchanganyia picha ndani ya OB VAN ya Azam Tv, wazee wa kazi wakiwa kazini.
 
Ob Van ya Azam Tv ikiwa imekaa tayari kwa lolote

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog