Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Saturday, October 26, 2013

PICHA: PRESS CONFRENCE: MOHOMBI,DAVIDO NA ALAINE NA WAANDISHI WA HABARI SERENA HOTEL DAR

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiongelea mbele ya waandishi wa habari leo kwenye Hoteli ya Serena
Kwa upande wake Alaine, amesema amefurahia kuja kupanda kwenye jukwaa la Fiesta na atawapa mashabiki wake burudani kali.
“Ninafuraha kugawama upendo wangu, muziki wangu na nguvu yangu, itakuwa kali sana. Na nimefurahi kuwa pamoja na wasanii hawa wenye vipaji na kujifunza zaidi kuhusu Tanzania na kuhusu muziki wenu,” alisema Alaine.
 Naye Davido alisema kabla ya kuja Tanzania alikuwa akipata ujumbe mwingi kutoka kwa mashabiki wake wa hapa waliomuuliza atakuja lini na hivyo amefurahi kupata wasaa huo.
 Mheshimiwa Temba akizungumza
 Kuanzia Kushoto: Shilole, Christian Bella, Davido, Alaine pamoja na Meneja Masoko wa Serengeti Premium Lager, Alan Chonjo

Akiongea kwenue mkutano huo uliohudhuriwa na wasanii wa nyumbani pia wakiwemo Chege, Temba, Shilole na Linah, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alisema badala ya kuleta msanii mmoja mkubwa kutoka Marekani, awamu hii wameamua kuleta wasanii wengi zaidi ili kuleta ladha nyingi kwenye jukwaa moja.
 Alaine na Linah wakijadili jambo. Katikati ni Davido

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog