Pages

Tuesday, January 21, 2014

PICHA: HUYU NDIYE SISTER WA KANISA ALIYE JIFUNGUA MTOTO WA KIUME,.SOMA HAPA STORI KAMILI

Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la  Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis. Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito. Dah bora tu waruhusiwe kuolewa.

No comments:

Post a Comment