Author: Bin Hussein Photography |
12:16 AM |
|
Kupitia Account yake ya Instagram msanii maarufu Diva Wema Sepetu,ame-post ujumbe ambao uliandikwa na msanii wa filamu za hollywood za marekani ajulikanaye kama Brad Pitt,alipokuwa anaelezea hisia zake ,wakati mgumu aliopitia kipindi mke wake Angeline Jolie alipokuwa anasumbuliwa na matatizo mbali mbali,ikiwemo yakikazi,watoto nk,yaliyopelekea kumsababishia mke wake kupoteza uzito zaidi na afya yake kutia mashaka,kipindi ambacho alikuwa anahofia kuwa mahusiano yao yanaweza kufika mwisho,na mengine mengi.Ujumbe ambao umetokea kushika hisia za Wema na kuamua ku-post kwenye account yake na kuwa-dedicate ujumbe huo kwa wanaume tu wanaojali wapenzi wao kama mfano aliouonyesha Brad Pitt kwa mke wake,Ujumbe wenyewe huu hapa ulioandikwa kwa lugha ya kingereza..
Related Posts:
UWOYA AJISAFISHA KUPITIA JINA LA RAISI, SOMA ALICHOKISEMA HAPA STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya haachi vituko, safari hii
ameibuka na kujisafisha kupitia Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza
akidai kuwa yey… Read More
HUYU NDO MWANAMUZIKI ANAEONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA BONGO, KAWAFANUKA KINA DIAMOND, HEMED NA WENGINE
Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye
uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa
vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni n… Read More
HIVI NDIVYO NIGERIA WALIVYOAMUA KUWEKA MAJENERETA KATIKA TAA ZOTE ZA KUONGEZEA MAGARI BARABARANI. CHEKI HAPA.
UNAHISI NI HATUA NZURI WALIOCHUKUA KUFANYA HIVO, AU UNA CHOCHOTE CHA KUCHANGIA HAPA. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI.… Read More
MKE WA HAMMER Q BAADA YA KUPOKEA KIPONDO KUTOKA KWA MMEWE, HIKI NDO ALICHOKIANDIKA FB KUHUSU WAO KUPATANA
Kitu mapenzi jamani hakuna asiyekijua
na moyo ukipenda vigumu kuuzuiaa, mnaambiwa msiingilie wala kushadadia
ugomvi wa wawili wanaoongea wak… Read More
KWA HIKI KINACHOENDELEA KUNA UWEZEKANO MKUBWA PREZOO NA DIVA WAPO KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI. SOMA HAPA So kumbe haikumtokea Prezzo tu, ni hata kwa Diva pia, ‘love at first
sight’. Juzi tuliandika habari kuhusu Prezzo kukiri kuchanganywa na
penzi la Di… Read More
0 comments:
Post a Comment