Author: Bin Hussein Photography |
10:20 AM |
|
Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu ..kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protocol
Related Posts:
Nuh Mziwanda: Shilole Nimekupa Ruksa, Nipige Mpaka Nikome!!!
Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda ameibuka na kuandika … Read More
PICHA: Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!
Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya amba… Read More
HII NDIO HALI HALISI YA HALI YA MCHEZAJI WA SIMBA SC EMMANUEL OKWI
Mshambuliaji machachari wa timu ya soka ya Simba, Emmanuel Okwi, jana jioni amenusurika kifo baada ya kupigwa kiwiko nyuma ya kichwa kwe… Read More
VIJIMAMBO: Shilole Amchapa Kofi Mchumba Wake Nuh Mziwanda
Kwa mujibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga kofi mchuma wake Nuh Mziwanda … Read More
Dotnata Amwaga Chozi ‘Lokesheni’
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo, Illuminata Posh maarufu kama Dotnata, amesema alitoa machozi wakati akirekodi sinema inayohusu unyan… Read More
0 comments:
Post a Comment