CHAMA CHA ANC CHAPATA USHINDI MKUBWA HUKO NCHINI AFRICA KUSINI
Author: Bin Hussein Photography |
7:50 AM |
No comments |
Rais wa Africa kusini Jacob Zuma asherehekea ushindi wa chama cha ANC katika uchaguzi mkuu uliokamilika.
Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya jumatano.
Imesema kuwa chama tawala cha ANC kilijipatia ushindi mkubwa wa asilimia 62.
katika hotuba yake kwa taifa Rais jacob Zuma amesema kuwa matokeo hayo ni ishara njema kwamba raia nchini humo wana imani na chama cha ANC na kwamba chama hicho kitatumia umaarufu wake kuimarisha maisha ya watu masikini nchini humo.
Amesema kuwa ushindi huo umeipa serikali yake uwezo wa kuimarisha ukuwaji wa uchumi pamoja na ubunifu wa ajira.
Taarifa zinazohusiana
Related Posts:
NOMA KWELI, HIVI NDIVYO WANAFUNZI KUMI NA MZUNGU MMOJA WALIVYOKAMATWA KATIKA NYUMBA MOJA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA HUKO KENYA, STORI, PICHA NA VIDEO HIZI HAPA mzungu na watuhumiwa wenzake wakiwa mahakamani Kenya ilikua kimya kidogo baada ya uchaguzi mkuu kuisha lakini kwa sasa inamake headline … Read More
KAMA BADO HUJACHEKI SHOW YA CLOUDS ILIVYOBAMBA KWA WASANII WAK UBWA BONGO KUSHUSHA MVUA YA BURUDANI DODOMA, CHEKI HAPA … Read More
KUTOKA TWITTER HALI SIO MZURI DIVA NA MWANADADA KUTOKA KENYA WAGOMBANIA PENZI LA PREZZO CHEKI MATUSI WALIOTUKANANA &nbs… Read More
WALICHOANDIKA BIG BROTHER AFRICA KUHUSU PENZI LA PREZOO NA LOVENESS LOVE DIVA HIKI HAPA... Hii Ni Post aliyoweka mtangazaji wa Clouds FM, Diva Loveness Love akiongelea penzi lake na Msanii tajiri toka Kenya, PREZZO. Katika Tovuti ya BigB… Read More
DIAMOND ALAMBA DUME TENA Mwanamuziki Nasseb Abdul maarufu kwa jina la Diamond amepata dili ya kuuza miito ya nyimbo zake (caller tune) nchini uingereza. Hii imekuja baada … Read More
0 comments:
Post a Comment