Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Sunday, May 18, 2014

EVENT YA NIPE FAGIO I AM THE CHANGE ILIYOFANYIKA JANA UNAPOPITA MTO MLALAKUA. MISS TANZANIA 2014 NAE ALIKUWEPO

Kampeni hii ya kuhimiza usafi wa jiji la Dar es salaam hufanyika mara kwa mara sehemu mbalimbali katika jiji la Dar. Shughuli nzima inahusisha watu wa rika na tabaka mbali mbali kushirikiana kwa pamoja, kujitolea kkusafisha mmaeneo mbalimbali ambayo yanakuwa yamepanga kufikio siku husika. Baada ya zoezi la usafi kukamilika ufuatiwa na burudani za kujipongeza kwa kufanikisha zoezi kwa siku hiyo. FUKWE ZA AZURA KAWE BEACH


Wanaunzi wa shule ya msingi nao wakisaidia usafi




Mstahiki Meya wa wailaya ya kinondoni nae alikuwepo, hapo akifanya mahojiano mafupi na waandishi wa habari.




Ephrahim Kibonde kutoka Clouds Media (Mzee wa kuhimiza kubaki njia kuu)
Mstahiki Meya akitoa hotuba fupi kwa watu waliohudhuria katika tamasha hilo
mapumziko mafupi baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu
Mifuko yenye takataka ikiwa imejaa tayari kwaa kupelekwa kwenye gari la taka
Tajiri Hundi akimkaribisha Happiness Watimanya kuungana katika zoezi zima la usafi wa unapopita mto mlalakua. Miss Tanzania 2014 tayari akiwa na mfuko wake kujiandaa kwenda kusaidia kusafisha.

Vijana kutoka Kigamboni Community Centre wakionesha onesho lao la sarakasi.



Miss Tanzania akiokota takataka kuweka kwenye mfuko aloahidi kuujaza takataka pekeake.

Happiness

Maonesho ya mavazi yaliyotengenezwa kwa kutumia takataka

Miss Tanzania 2014 akionesha vazi lake



Waliosaidia kufanikisha zoezi zima

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog