Author: Bin Hussein Photography |
2:33 AM |
|
Watu wangu!! kwanza namshukuru Mungu muweza wa yote... shukrani kubwa zinazofata ni zako mtu wangu ulienipigia kura, uliefanya kampeni kwenye page yako na kunitag na hata ulieshindwa kupiga kura lakini love yako ilikua kwangu! nyinyi ndio mmeifanya #June272014 kuwa siku yangu nyingine kubwa baada ya kushinda tuzo zote mbili nilizokua nawania ktk #tuzozawatu2014#MtangazajiAnaependwa na#kipindicharediokinachopendwa asanteni yani watu wangu! Huu ni Upendo mkubwa sana kwangu! ahadi yangu ni ileile #damdam #milele mtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu! Love kwa watu wangu @bdozen na Maryam Kitosi tuliokua pamoja kwenye kuwania, naitambua kazi yenu watu wangu.
Related Posts:
MIAKA 5 YA CLUB KAKALA KIGAMBONI, RICH MAVOKO AFUNIKA MBAYA, TAZAMA SHOW YAKE HAPA,.. DJ CHOKA, TUNDA MAN NDANI YA NYUMBA.
… Read More
UNAAMBIWA HUYU NDIYE ALBINO ANAYETIKISA KATIKA WIMBI LA UKAHABA,.. MTAZAME HAPA.Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Fadhila Omary, mkazi wa Mbezi jijini Dar ametikisa midume na kuzua… Read More
ZITTO KABWE: DENI LA TAIFA WANAFAIDI WEZI WACHACHE LAKINI TUNALIPA WOTE
Deni la Taifa: wafaidi wachache, twalipa wote.Leo nimeandika kuhusu Deni la Taifa kukua kwa kasi na kufikia tshs 27 trilioni mpaka Desemba 2013 kuto… Read More
SOMA HII "BARUA NZITO" ALIYOANDIKIWA DIAMOND PLATNUMZ
KWAKO,Nasibu Abdul ‘Diamond’. Pole na kazi na mihangaiko ya hapa na pale. Najua uko bize sana na shoo za kila kukicha. Siyo mbaya, ndiyo maisha, ma… Read More
MSANII WA ISIDINGO "LETTIE MATABANA" ALIYEISHI KWA VIRUSI VYA UKIMWI TANGU 2011 AFARIKI DUNIA,HII NI INTERVIEW YAKE YA MWISHO.
Muigizaji maarufu wa wa tamthilia ya Isidingo Lesego Motsepe maarufu kama Lettie Matabane, amethibitishwa kufariki dunia jana huko nyumbani kwa… Read More
0 comments:
Post a Comment