Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Tuesday, June 17, 2014

KWA HILI LINEX UMEKOSEA SANA, ULICHOFANYA NI KAMA MATUSI KWA WAAFRIKA

Nilikuwa sitaki kuiweka hii picha maana nina wazungu kwenye fb yangu watashangaa sana kumuona LINEX kavaa hii tishet yenye chatta hii,,hii ni CHATTA MBAYA SANA especially kwa ss waafrika kuivaa ni kama unajidhalilisha,,
Adolf hitler kama humjui kamgoogle ujielimishe alikuwa ni nani,,Adolf hitler alikuwa mbaguzi alochukia wayahudi na kuuwa 6million jews wakati wa uhai wake,,
tukisema hii chatta inarepresent NAZI NAOMBA muelewe ni kitu gani,,
marekani kuna kundi linajiita K.K.K AMBAO mpaka leo wapo ila hawajionyeshi kwa sana but wapo na K.K.K waliwauwa wamarekani wakiwang kwenye mti na kuwavalisha kitambaa cheupe na wao huvaa nguo nyeupe na kitambaa wakiewa wanafnya mabaya yao,,hii CHATTA inarepresent ubaguzi na chuki inakuwaje ww leo kama mwafrika unavaa kitu kama hiki,,Linex ni msanii anaweza akaja akasafiri nchi za watu na hawatomuelewa hata sekunde moja wakachukulia kama dharau kumbe hajui,,inamaana wote walomuona hiyo cku hawajui maana ya hii CHATTA,,Leo nimepost hii picha kwenye blog yangu na kuonglea maana yake nimegundua kuna watu wengi sana hawajui maana ya hii kitu,,naomba muelewe kuwa THE NAZI CHATTA sio kitu wewe mweusi wewe leo ukivae na kukipromote yaani utakuwa hauko sahihi kabisa,,weusi tumetoka mbali sana naomba tujikumbushe na kujithamini na kutoendekeza ujinga kama huu,,nimemaliza.com!!
Crdts: Friend

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog