Author: Bin Hussein Photography |
4:12 AM |
|
Kila mwaka wakati wa majira ya joto maelfu ya watu kutoka kila sehemu ya nchi ya Haiti hufanya msafara wakiimani kuelekea kijiji cha Ville Bonheur kwenda kwenye maporomoko ya maji ya Saut d’Eau ambayo yalo karibu na Mirebalais, hii ilianza tangu 1847.
Makundi makubwa ya watu hao hufika na kufanya mambo mbalimbali ikiwemo kuomba, kucheza, na watu wenye magonjwa /mikosi huvua nguo na kuoga kwenye maji yanayo poromoka....Ili wapate kupona.Wengi huvua nguo na kuzirusha juu ikiwa ni ishara ya kuachana na mabo ya nyuma na kuanza mamobo mapya.
0 comments:
Post a Comment