HII NDIYO SARAFU YA SHILINGI MIA TANO(500) INAYOTARAJIWA KUANZA KUTUMIKA TZ BADALA YA NOTI
Mfano wa Sarafu ya 500 kama iliyoonekana katika Banda la Benki Kuu katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baada ya noti ya shilingi mia tano kubainika kuwa kwenye mzunguko mkubwa sana na hivyo kuchakaa mapema,Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imeamua kuleta sarafu ya shilingi miatano mwaka huu wa fedha inayotegemewa kudumu kwa miaka zaidi ya ishirini
Sarafu ya shilingi mia tano inatarajiwa kuzinduliwa na Benki Kuu ya Tanzania katika siku za usoni. Sarafu hiyo itatumika sambamba na noti za shilingi mia tano huku zikiwa zinaondolewa kwenye mzunguko taratibu taratibu. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki na Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Emanuel Boaz.

0 comments:
Post a Comment