Pages

Tuesday, August 12, 2014

FASHENI HIZI: (PHOTOS) JOKATE KIDOTI NA COPY N PASTE..HATARI SANA AISEEE!

 Urembo ni kitu kizuri na kwenda na Fasheni ndio msingi wakuonekana HOT kila wakati...mwanadada Jokate hayuko nyuma kwenda sambamba na wakali wa nje...big up!!!...Cheki picha hizo ujionee AKI- COPY NA KU-PASTE mitindo ya nywele wa Rihana na Beyonce katika style tofauti!!!

No comments:

Post a Comment