Advertise with us here...
Contact: 0654 264 472
Email: sabanhussein@yahoo.com
sabanhussein@yahoo.com
Pages
▼
Monday, August 4, 2014
Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 kwenye harusi yake.
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment