Diamond: "It always seems impossible until it's Done!...ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba kura zenu zimeiwezesha #MdogoMdodo kuwa nyimbo bora ya Kiafrika na Kijana wako Diamond kuwa Mburudishaji bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika Nchini Marekani 04|10|2014..... Asanteni sana sana...hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine sasa!..."
No comments:
Post a Comment