NICK WA PILI, TISHA SANA KUWA MSANII WA KWANZA BONGO KWENDA KUCHUKUA PHD
Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD.
0 comments:
Post a Comment