TAARIFA KAMILI KUHUSU MAHAKAMA KUMZUIA DAVIDO KUFANYA SHOW LEO, ANGALIA VIDEO ALICHOKISEMA DAVIDO.
Msanii Davido akishangaa baada ya kupata taarifa ya kuzuia kufanya onesho leo katika viwanja wa Leaders club.
Hii ndio taarifa ya mahakana kumzuia Davido kufanya onesho lolote la prime promotion kwani tayari alikua kashangia mkataba na kituo cha radio Time kwa mkataba wa kufanya onesho hillo Novemba 1
0 comments:
Post a Comment