Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Sunday, November 2, 2014

HIKI NDICHO WALICHOKISEMA MAPROFESA WA UDSM KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUPEWA SHAHADA YA UDAKTARI

Ni kama wiki moja sasa tangu kuenea kwa habari ya kua Diamond Platnumz atapewa shahada ya Udaktari katika chuo kikuu cha Mlimani. Baada ya taarifa hizo kuenea sana tumebahatika kupata mahojiano ya maprofesa wawili kutoka chuo cha Mlimani wakizungumzia ishu hii.
Wote wawili wamekubali kua Diamond ni msanii mkubwa lakini hajafikia hadhi ya kupewa shahada ya heshima ya udaktari.Angepata tu endapo tu angefanya jambo ubwa na kusaidia jamii na kwamba kuimba na kupendwa na watu si kigezo kikubwa cha kupewa tuzo hizo.
Unaweza sikiliza mahojiano hayo hapa chini……

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog