MAJONZI! MMILIKI WA MATTEI LODGE AFA AJALINI DODOMA!
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
Gari alilokuwemo Mattei likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.
Mmiliki wa Mattei Lodge enzi za uhai wake.
MMILIKI wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa. Mungu ametoa na mungu ametoa... "Ameeen"
0 comments:
Post a Comment