PICHA: Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!
Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya ambayo itakwenda kwa jina la “NDIO HIVYO” .
Wadau wengi wameonyesha kuisubiri kwahamu kubwa kwani picha hizi za awali zimeonyesha kuwa movie hiyo itakuwa kwenye kiwango cha juu zaidi tofauti na movie nyingi ambazo huwa hazina uhalisia hasa linapokwuja swala la kuigiza “sini”za mahakamani , gerezani na hata polisi.
Lakini hii sasa ninaonekana itakuja na uhalisia zaidi wa maeneo hayo, mbali na Richie mwenyewe kushiriki katika movie hiyo, kuna wakali kama Monalisa na Dr cheni na wakali wengine nao wamo.
Hakika itakuwa ni kazi bora zaidi.Tuendelee kuisubiri
0 comments:
Post a Comment