Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Thursday, March 12, 2015

LADY JAY DEE: SINA MIMBA MNIACHE. HAWAJIBU WALIOKUWA WAKIMSUMBUA INSTAGRAM.

Lady Jaydee amekasirika. Ni baada ya followers wake kumhisia kuwa ana ana ujauzito kutokana na picha aliyoiweka Instagram.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lady Jaydee ameandika:
Imebidi nifute post, Ili nielezee upya, hivi watu hamuelewi kiswahili au ni nini ??? Nimesema tumbo limevimba sababu ya sahani, nikimaanisha mlo na nili post nakula hapo awali, Sasa hayo maneno mengine yanatokea wapi?, Au niwe naandika kichina? Kwani mliambiwa nitazaa Rais atakaewatoa ktk shida zote mpka mnishikilie mimba mimba, Hebu niacheni basi khaaa, Nisiishi Kisa mimba? Aisee mnaboa sana, Basi niueni Kisa sijazaa, Ili niwaondolee kero kabisa.

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog