HALI ILIVYOKUA NA MABOMU YALIVYO PIGWA UBUNGO KUTOKANA NA VURUGU KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA
ozi kuwatawanya watu wanaoleta vurugu katika kituo cha mabasi Ubungo.
Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu ya machozi katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu zinazofanywa na abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva.
Shuhuda wetu ameshuhudia katika neo la Ubungo bajaji na pikipiki nazo zinalazimishwa kugoma, Dereva akileta ubishi anapigwa na usafiri wake kuharibiwa.
Mpaka sasa mabasi yanayotoka Mwanza kwenda mikoa mingine hayajaondoka kituo cha mabasi cha Nyegezi,madereva wote wamegoma baada ya serikali kuwapa miaka mitatu wawe wamekwenda shule ya udereva.
Kutoka Stendi ya Ibinzamata Shinyanga,pia hakuna gari inayoruhusiwa kutoka stendi a cha Darajani-Ubungo huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar.
Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
o baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.
0 comments:
Post a Comment