Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Friday, April 3, 2015

TANZANIA YAONGOZA KWA KUTUMIA DIGITAL

Meneja wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania Innocent Mungi
Mamlaka ya Mawasiliano hapa nchini TCRA,imesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kutekeleza maazimio ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC pamoja na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC katika kutumia mfumo wa matangazo wa Dijiti.


Meneja Mawasiliano wa TCRA Innocent Mungi ,amesema nchi Wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mawasiliano ya Simu Duniani ITU,kwa pamoja zimeridhia makubaliano ya kusimamisha mfumo wa Utangazaji wa television unaotumia Teknolojia ya Analojia katika Miundombinu ya minara Juni 17 mwaka huu.

Ameongeza kuwa kutokana na makubaliano hayo nchi mbalimbali zimeamua kuchukua hatua za pamoja kuhakikisha zinahama kutoka katika mfumo wa Analojia kwenda Dijiti.
[21+]VIDEO, PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI, MASTAA N.K!INGIA HAPA===>>BONGOLAND24.COM

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog