Jackline Wolper Avalishwa pete ya uchumba na kumuweka wazi mchumba wake...
Naweza kusema usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa kheri kwa Staa wa filamu Wolper, baada ya kuvishwa Pete ya uchumba na mchumba wake...
Wolper alipost picha kadhaa zikionesha tukio hilo la kuvishwa pete na picha zingine machozi yakimtoka kwa furaha iliyo pitiliza... Pichani ni mchumba wake ambae hakuweka wazi anaitwa nani na sina hakika kama nyuma aliwai kumpost popote...

0 comments:
Post a Comment