Pages

Wednesday, December 30, 2015

PICHA :WAZIRI NAPE AUZURIA UZINDUZI WA FILAMU JIJI DAR

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na  mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century Cinema ,Mlimani  City jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment