PICHA: MH. JANUARY MAKAMB AKIWA KATIKA MSITU WA MAZUMBAI
Mazumbai Forest
Tarehe 13-3-2016Location. Bumbuli,Lushoto
Akiwa Jimboni Bumbuli mheshimiwa January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli, msitu huu umehifaziwa na serikali chini ya chuo kikuu cha sokoine kwa ajiri ya watu kwenda kujifunza .
Msitu wa mazumbai unasifa nyingi sana za kipekee kwanza ni kati ya misitu michache ambayo haija athiriwa na shuguri za kibinadamu na hii inatokana na ulinzi na ufadhi mzuri wa chuo cha sokoine vilevile msitu huu una aina nyingi za mimea kuliko aina za mimea iliyopo western EUROPE (ulaya magharibi)
January akisalimia na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu mala baada ya kuwasili ofisini kwake.
Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai.
**PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA Mpiga picha Rasimi (official Photographer wa
Hon.January Makamba) IMANI SELEMANI NSAMILA au Imani Nsamila
PHOTOGRAPHY**
0 comments:
Post a Comment