WAZIRI JANUARY MAKAMBA (MB) WAZIRI WA NNCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO, MAZINGIRA) ASWALI SWALA YA IDDI NA WANANCHI WA JIJINI TANGA JANA.
Waislamu kote ulimwenguni jana walihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kusherehekea sikukuu ya Iddi Elfitir
Mh.January Makamba ameitumia siku ya leo kwa kushiriki ibada ya pamoja na wananchi wa jijini Tanga katika msikiti mkubwa wa Ijumaa
Mh. January Makamba akipeana mkono wa iddi na waumini waliohudhuria swala ya iddi Elfitiri msikitini hapo
Mh.January Makamba akifuatilia mawaidha baada ya swala ya Iddi Elfitir
0 comments:
Post a Comment