Pages

Wednesday, September 21, 2016

Kilimanjaro Queens yatwaa ubingwa wa CECAFA 2016

Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ yaifunga Harambe Starlets ya Kenya 2-1 na kutwaa Kombe la Chalenji la CECAFA 2016 huko Jinja, Uganda leo jioni

Magoli ya Tanzania yamefungwa na Mwahamisi Omar dk 28, 45, Kenya limefungwa na Christina Nafula.
Tanzania walifika fainali baada ya kuwalaza wenyeji Uganda 4-1 mechi ya nusu fainali

No comments:

Post a Comment