MSAFARA WA VIJANA WATOA ELMU YA MAZINGIRA NA AFYA KISHAPU
Youth Climate Activist
Network (YouthCAN) Tanzania Ni mtandao wa
vijana wanaotoka kwenye taasisi za dini mbalimbali wanaofanya shuguli
mbalimbali za mazingira na afya kwa ujumla kwa kujitolea chini ya Shirika la Norwegian
Church Aid (NCA)
Kuanzia Tarehe 11/9 /2016
vijana hawa walianza masafara wa Kutembelea baadhi ya maeneo yaliyo athirika
sana na mabadiliko ya tabia nchi. Ili kutoa elimu ya Utunzaji wa mazingira, vyanzo
vya maji na usafi .baada ya kutoa elimu hiyo Halmashauri ya wiliya Kishapu
Mkoani Shinyanga wanatarajia kwenda Kutoa elimu hiyo Mkoani Manyara kwenye baadhi ya vijiji vilivyopo Hanang.Hydom na Mbulu.
Mkurugenzi wa Halimashauri
ya Wilaya Kishapu Bwana.Stephen M Magoiga
akizindua moja kati ya Visima saba.
Moja visima vilivyokuwa vikitumiwa na wanachi kabla ya ujenzi wa visima vya kisasa.
Vijana wa YouthCAN wakitoa elimu ya Mazingira,Maji na Afya kwa njia ya Nyimbo Kijijini Ikonda.
Nizar
Selemani Mratibu wa shuguli za vijana
katika shirika la NCA na Baraka Chedego ambae ni Mratibu wa Youth CAN wakizungumza
jambo wakati wa mkutano na wanakijiji cha Ikonda.
Vikundi Mvalimbali vya sanaa
kutoka Kishapu vikitoa burudani wakati wa Mkutano.
Wananchi wa Kishapu
wakifatilia mkutano kwa Umakini Mkubwa.
Picha zote na IMANI SELEMANI
NSAMILA.
0 comments:
Post a Comment