Advertise with us here... Contact: 0654 264 472 Email: sabanhussein@yahoo.com sabanhussein@yahoo.com

Thursday, October 20, 2016

GNRC WAHITIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UMASKINI KIPEKEE.


Kila tarehe 15 Oktoba, Dunia nzima huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umasikini, ambapo mwaka huu  kauli mbiu ya  siku hiyo ilikuwa ni
‘’KUTOKA UDHALILISHAJI NA UTENGWAJI MPAKA USHIRIKISHWAJI ‘’.
Mtandao wa Dini mbalimbali kwaajili ya watoto ulimwenguni  uitwao Global Network of Religion for Children (GNRC-Tanzania) wamefanikiwa kuhitimisha siku hii kwa namna ya pekee kabisa ambapo tangu tarehe 15 Oktoba wamekuwa wakiandaa matukio mbalimbali yaliyolenga kuwajengea uwezo watoto haswa wa Shule za msingi kwa kuandaa mashindano tofautitofauti kama Midahalo na Michezo ikiwa na lengo la  kuwajengea watoto uwezo (capacity building)  na kuwapa elimu ambayo itaweza kuwakomboa katika janga la umasikini .

Wanafunzi wa shule ya Msingi  Oysterbay wakiwa kwenye picha ya pamoja na Baraka Chedego kutoka GNRC -Tanzania kabla ya kuanza kwa mechi ya mpira wa miguu




Vainess Mbaga  (Education Officer) akitoa elimu kwa watoto




Washiriki wa Mdahalo wakisalimiana na Mama Joyce Mdachi kutoka GNRC na viongozi wengine wa shule




 Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Shule ya msingi oysterbey akipata huduma ya kwanza





 wanafunzi wakiwa katika mdahalo



5.Mfano wa vyeti walivyotunukiwa wanafunzi kutoka na ushiriki mzuri wa siku hii ya kipekee.



Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Total Pageviews

273573

Popular Posts

Unordered List

http://michuzijr.blogspot.com/2013/03/party-kubwa-ya-pasaka-kudondoshwa.html

Flickr Images

Follow Us

Bin Hussein65 copyright 2014. Powered by Blogger.

Translate

Followers

Search This Blog